Google PlusRSS FeedEmail

BEBE COOL ASALITI AMRI KWA CHAMELEONE

Musician toka Uganda,Jose Chameleone na Bobi Wine kupiga pamoja concert iliyoitwa “battle of champions” iliyofanyika pande za kati kati mwanzoni mwa mwaka huu,Artist Bebe Cool ameamua kuweka tofauti zake na Jose Chameleon kwa maendeleo ya Uganda music industry.
Hivi karibuni artist kibao walialikwa kwenye party ya kusherehekea ushindi wa Rais Museveni iliyofanyika pande za kololo na Jose Chameleone na Bebe Cool kuonekana wana hug na kushikana mikono, coz kama miezi 2 hivi hawajaona uso kwa uso baada ya Bebe Cool kumkejeli Chameleon kwa kuungana na adui yake mkubwa Bobi Wine.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging