Google PlusRSS FeedEmail

JCB ft JOH MAKINI, NAKAAYA & GNAKO- WAJIANDAA KUACHIA ARUSHA PART 2

JCB anakam tena na "ARUSHA", track ambayo ni muendelezo na hii part two imepikwa ndani ya fishcrab studios chini ya mkono wa lamar. pini hili litakuwepo katika Nakala za makalla VOL 2 itakayotoka kabla ya mwezi wa sita mwaka huu 2011,JCB anasema "Naendeleza harakati na track bado narekodi ili kuwa na wide choice katika kupangilia album VOL 2, Mpaka sasa kazi kibao zipo katika mixing & mastering stage studios tofauti kama bongo records, Watengwa/Daz records, Fishcrab na zinginezo kadhaa na jana nilikuwa katika mazungumzo pale hoodpixx arachuga kuhusu ku-shoot video ya ngoma mojawapo kati ya "ARUSHA" PART 2 ama ile ya "Step by Step", nitawajulisha fans wangu zaidi maamuzi yakishapatikana,shukrani kwa wote wanao nisupport, hapa hapa home na duniani kote,mchakato wa upigaji kura kuwania tuzo za kili music awards katika Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikishwa na Wimbo Bora wa Hip Hop unaendelea kama kawa kwahivyo naoma kura yako fan wa hiphop"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging