Google PlusRSS FeedEmail

JULIANA KANYOMOZI NI MJAMZITO NA ANATAWAJIWA KUJIFUNGUA MUDA SI MREFU

Aliyekua jaji kwenye shindano la Tusker Project Fame-2010,Juliana Kanyomozi anatarajiwa kupata mtoto wake wa kwanza toka kwa mpenzi  wake anayekwenda kwa jina la Mujib Kasule ambaye ni mchezaji mpira wa zamani nchini Uganda. Juliana na Mujib walikutana mara ya kwanza mwaka 2006 na juliana kumtungia track iitwayo Mukuume na baadaye kuachana,then akawa anachakachua na Msanii wa Ragga toka Uganda,Peter Miles. Kwa sasa amemtungia tena wimbo mwingine mpya Baby-Baba wake to be Mujib Kasule uitwao "Kantambule Nawe" na kwa sasa inasemekana kuwa itakua ngumu kwao kufunga ndoa Kwasababu Juliana na Mujib wana imani tofauti za kidini japo wanaishi pamoja mwaka 1 sasa!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging