Mshindi wa Tuzo ya Wimbo Bora Afrika Masharik Lady Jay Dee amefunguka na kudai kuwa hakualikwa kwenye Tuzo za Kili Music Awards zilizofanyika week-end iliyopita jijini Dar.
“Sikuweza kufika kwenye tuzo za Kili Music Awards kwa kuwa sikupatiwa mwaliko, niliogopa kuzamia.
Nadhani walinisahau, Hata mwakilishi wangu yoyote pia hakuwepo ila Shabiki mmoja aliyepo alinipokelea na kuniletea tuzo Nyumbani
La muhimu zaidi nashukuru sana Watanzania wote mlionipigia kura, sina cha kuwalipa zaidi ya Asante Nashukuru wote mnaoendelea kuamini kuhusu JayDee Tuko pamoja siku zote” Aliandika Jay Dee kupitia blog yake.
Lady Jay Dee alishinda tuzo ya muziki bora wa Afrika Mashariki – “Nitafanya” aliyoimshirikisha Kidum.