Wakati toka Kenya,P-Unit baada ya kutoa ngoma kali kama Kare,Kushoto Kulia na Juu tu sana,nyimbo ambazo kwa namna moja au nyingine zilikua ni za ku bang kwa sasa wametoka kivingine baada ya kuja na wimbo wenye ujumbe kuhusiana na gonjwa la ukimwi
P-Unit wametoa ngoma mpya iitwayo Usikonde featuring Gaza ambayo inahusika na swala zima la ugonjwa wa ukimwi, Uskonde aka don't worry ni track inayohusiana na HIV/AIDS na video pia iko tayari na itakua kitaani soon!

bado haijafika kitaacoz jana nimeisaka kila duka na nikakuta kushnei