Mwimbaji Mkongwe wa Muziki wa Dansi Tanzania,Sikinde Shabani Dede aka Super Motisha,jana jioni alitangaza kuwa amejiunga rasmi na mahasimu wao wakubwa Msondo Ngoma Music Band.
Shaaban Dede aliingia katika anga ya muziki kwa kupitia Msondo Ngoma,baada ya hapo alihamia Bima Lee,akapitia Mlimani Park,akarudi Msondo,akaenda Mlimani tena karudi Msondo Ngoma Music Band,tarehe 15 March 2011,Na yeye mwenyewe alidai kuwa amerudi nyumbani na Mlimani Park alikua anajifunza tu!