Baada ya jarida la Fobres kutoa orodha ya utajiri kwa hip-Hop Artist-Cash Kings,Mmiliki wa Cash Money Records,Brian Williams aka Birdman,amesema kuwa Jarida hilo limekosea na kamwe hawezi kumiliki kiasi hicho kidogo cha fedha
Birdman alisema hayo kwenye interview na MTV na kukosoa kuwa kamwe yeye hawezi kumiliki kiasi kidogo cha pesa kama hicho nyuma ya 50 Cent,Dr Dre,P-Diddy na Jay Z,na kuwa yeye kwa sasa anamiliki zaidi ya kiasi hicho cha dola milioni 100....