Google PlusRSS FeedEmail

BEEF JINGINE KATI YA WASANII UGANDA SASA NI COCO FINGER NA BOBYWINE

Beef jingine ambalo linagusa katika vyombo mbali mbali vya Habari Nchini Uganda kati ya Coco Finger na ,Bobi Wine.inasemekana kuwa Bobi Wine alikua anataka Coco Finger ku-perform kwenye sikukuu za Pasaka pande za One Love Beach iliyopo Busabala
Bobi Wine alitaka kumlipa Coco Finger Shs million 4 za Uganda ili asiweze kushiriki katika show yoyote sehemu nyingine,na siku hiyo hiyo hasimu wa Bobi Wine,Gagamel Crew ,Bebe Cool atapiga show akiwa na Chaka Demus & Pliers pande za Kiwatule Recreation Centre




Bobi Wine hataki Coco Finger apige show kwa Bebe na Coco mwenyewe huenda akakataa Shs milioni 4 toka kwa Bobi kwa sababu anataka apige show zote mbili ili ajiongezee kipato ,kwasababu Coco Finger hana beef na Bobi Wine,ila yuko karibu sana na Bebe Cool na hivi karibuni Bebe Cool alitangaza hadharani kuwa Coco Finger amempiku Bobi Wine na kuchukua nafasi ya 3 ya wanamuziki nyota wa Uganda.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging