Stella Mwangi STL,Mwanamuziki toka Kenya ambaye kwa sasa anaishi nchini Norway ameahirisha upigaji wa video ya Single yake iitwayo Haba Haba mpaka April 10,2011
Uamuzi huo umekuja baada ya STL kuwa na kazi nyingi tangu atoke Kenya, February 27 ambapo alikua ana-shoot documentary yake kuhusu maisha yake ya kimuziki kiujumla,na watu wanaomsimamia wanataka muda mwingi zaidi wa kufanya kazi hiyo baada ya STL kupata shavu toka record label iitwayo EMI Records na kampuni ya simu toka Kenya ya Safaricom.Japo utengenezaji wa video umeahirishwa ila video hiyo itazinduliwa kwa tarehe iliyopangwa hapo awali