Malkia wa Mipasho Bongo,Khadija Omary Kopa,ameibuka na kusema kuwa, neno Sharobaro ambalo limeenea mitaani ni tusi kubwa lenye maana ya mwanaume aliyelegea anayefanyiwa kila kitu
“Ukweli ni kwamba, neno hilo linatumika Uarabuni kwa mwanaume ambaye hajishughulishi na kazi yoyote,badala yake huzurura kutwa na watoto wa kike akisubiri afanyiwe kila kitu na dada au mama yake,hata sauti yake akiongea utamuonea huruma jinsi alivyolegea,” alisema malkia huyo na kuwataka vijana kuacha kujiita jina hilo..
Na kwa mujibu wa rais wa masharobaro bob j anasema sharobaro maana yake ni mtu msafi,mtanashati,anayenukia wakati wote..sasa nani mkweli kati ya hawa kazi kwako kunyoa auuuuuuuuuu...........?