Google PlusRSS FeedEmail

KICHWA KINGINE KUTOKA NOIZMEKAH

Msanii Nist akimshirikisha Kabuu wanakwambia "Maisha bila pesa" hayawezekani kabisa,pesa ndio inazungusha hii dunia na ngoma hii ya mahadhi ya hiphop ilorekodiwa na kufanyiwa mixing katika studio za noizmekah inajieleza vizuri,Nist,mwenye maskani yake arusha pande za Makumira ana lengo la kunyanyua zaidi na zaidi muziki wa kizazi kipya kwa kuielimisha jamii kupitia kipaji chake cha kughani au kwa kiingereza ku rap,Nist asema," Beat ya wimbo huu ametengeneza "Papaya" na kisha vocals nikarekodi kwa DX ili kupata quality nzuri na bora kabisa maana muziki wetu sisi vijana umepewa nafasi na nawaahidi mashabiki wangu kiendelea kukaza buti kuiwakilisha kaskazini vizuri kwenye hiphop,natarajia kuunda ngoma nyingine hivi karibuni kutumia beat alioniundia msanii "Papaya" wa kundi la "Kambi tata"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging