Mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu Tanzania watayarishaji wanaonyesha umahiri wao katika uandaaji wa filamu hizi na hili limeonekana katika filamu ya Talaka Yangu ambayo imetayarishwa na mtayarishaji ambaye ni mtanzania, ndani hii ndani yake imemshirikisha msanii raia kutoka Japan aitwaye Eri Okawa, filamu hii imeigizwa katika mazingira ya kitanzania.
Talaka yangu ni filamu ambayo inatarajiwa kuingia sokoni wakati wowote kuanzia sasa filamu hii ipo tayari kwa kila kitu kwani msemaji wa filamu hii anasema kuwa katika utayarishaji umezingatia taratibu zote za maandalizi ya filamu kimataifa, filamu hii imeongozwa na Marry Ngonya filamu ya Talaka Yangu.
Katika filamu hii ya imeshirikisha wasanii nyota katika game hili la tasnia ya filamu Tanzania kama vile Amri Athuman (King Majuto), Yusuf Mlela, Badru Idabu, Zuena Mohamed (Shilole), Marry Ngonya na Eri Otawa kivutio kikubwa ni King Majuto ambaye ameigiza katika kiwango kikubwa na kuifanya kuwa ni filamu ya aina yake, kama anavyojulikana kuwa kivutio cha watazamaji.