Hip-Hop star Lil Wayne toka Young money,anakabiliwa na deni la kodi inayofikia dola milioni 5.6 na mamlaka ya mapato Jumatatu ya tarehe 28 March 2011ilimpelekea Lil Wayne bili hiyo huko Miami,na kumueleza kuwa anadaiwa kodi aka in come tax kwa mwaka 2008-2009
Lil wayne alipata dola milioni 3,335,077.95 kwa mwaka 2008 na kiasi cha dola milioni 2,258,956.04 kwa mwaka 2009 pekee
Kwa mujibu wa chanzo cha habari , Lil Wayne kwa sasa ana mpango wa kuuza hekalu lake lililoko huko Miami Beach Island lenye ukubwa wa futi 15,101,kwa kiasi cha $ milioni 12,900,000 na Weezy kwa sasa inasemekana kuwa atajiingizia pesa kibao kupitia i am music tour II ambayo imeanza Mar 18,2011 HSBC Arena-New York na kumalizika tarehe May 1,na kwa sasa anajiandaa kutoa studio album yake mpya ya 9 iitwayo The Carter IV Album