Bongo Flava Artist,Matonya alikua anapiga showz kwa ajili ya Pasaka mjini Bungoma na vyombo vya habari vya Kenya vimeripoti na kudai kuwa hajalipa bili alipokua pande za Club Etonia-Kimilili na club nyingine za Bungoma na Webuye
Inadaiwa Matonya alifikia Minata Group Hotel pande za Webuye na kudaiwa kuwa hajalipa bili alipokua hapo hoteli
Management ya hoteli hiyo imemshutumu Matonya kwa kuagiza vinjwaji akiwa na fans wake,na kushindwa kulipa bili hiyo iliyofikia Shs 30,000 za Kenya!