| Pro 24, dj Cavy akisababisha katika usiku tulivu kila Jumatano ndani Club Masai. |
| Wadau wakijiachia kwa ngoma kali toka kwa madj wa ukweli wa Pro 24 ndani ya Club Masai kila Jumatano wewe unasubiri nini? karibu Jumatano hii tujumuike pamoja. |
| Mwana libeneke akiwa na AY. |
| Dadaz sio suala la kuuliza ukiwa Club Masai kila Jumatano. |
| Wadau wakiuza sura kama kawa ndani ya Club Masai Jumatano. |
| Dj Cavy akiwa na wadau ndani ya Club Masai. NJOO TUJIACHIE..!! |







