Wasanii toka Jamaica wa Bend Over wameipa tano nchi ya Uganda kwa mapokezi mazuri na kuwa-diss wale wenyeji wao wa Kenya walipokua kwenye Tour yao ya Easter,Afrika Mashariki
Wanadai walipokua nchini Uganda walipata mapokezi mazuri,pia crowd ya Uganda ilikua poa hata madem walipanda kwenye stage,lakini walipokua Kenya wanadai kuwa walipata mapokezo mabaya na kuwekwa fake hotel, na totoz toka Kenya hazija-show love kabisa
RDX walikaa kwenye holeli iitwayo Jacaranda Hotel yenye kiwango cha chini na kuhisi kama promoters wao waliwapiga changa la macho,walipokua wanapiga show pande za KICC kwenye Swaggariffic Concert,na ilibidi wakae kama siku 4 hivi mpaka walipomaliziwa mkwanja wao na kusepa na pia imedaiwa kuwa walimtishia kum-shoot promoter kama asingewatimiza ahadi yao