Google PlusRSS FeedEmail

BOBY WINE ATARAJIWA KUFUNGA NDOA MWEZI JULY


Ghetto Prezidaa Bobi Wine hatimaye baada ya kupata pressure toka kwa wazazi wa Barbie na kuamua kukubali kumuoa Barbara Itungo aka Barbie Wine
Inasemekana kuwa kwa sasa Barbie hapati usingizi akiwa anawaza wageni wa kuwaalika kwenye harusi yake na Ghetto bad boy,coz inasemekana kuwa anataka kumualika kila mtu siku ya harusi hiyo ambayo imepangwa kufanyika mwezi July 2011
Barbie alimtambulisha Bobi kwa wazazi wake mwezi May 2007,huku Bobi akisindikizwa na msafara wa magari 20 na wapambe 150 kuelekea pande za Rubare,wilaya ya Ntungamo,ambapo Bobi Wine mahari ya fedha taslimu kufidia ng'ombe 18 na wazazi wa Barbie nao waliwaahidi ng'ombe 30 wakifunga ndoa rasmi,na mpaka sasa Bobi Wine na Barbie wamebarikiwa watoto 3

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging