Google PlusRSS FeedEmail

MARIAH CAREY NICK CANNON WAPATA MAPACHA WA KIKE NA WAKIUME

April 30 itakua ni siku maalum kwa Mariah Carey na Nick Cannon,coz ilikua ni siku ya kusherehekea miaka 3 ya ndoa yao,tangu 30 April 2008 walipofunga ndoa Huko Bahamas...
Lakini furaha imeongezeka zaidi,Jumamosi ya tarehe 30 April 2011 mnamo saa12:07 za mchana kwa saa za Marekani jijini Los Angeles baada ya Mariah Carey kujifungua watoto 2 aka twins,baby girl alizaliwa kwanza then baby boy alifuata na baada ya kuzaa salama na ili kukamilisha furaha Mariah Carey alikua anasikiliza wimbo wake wa We Belong Together

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging