Google PlusRSS FeedEmail

CATHERINE ZETA JONES AFAFANUA KUTONENEPA KWAKE



Muigizaji wa Wales, Catherine Zeta- Jones ametaja siri ya mafanikio inayomfanya asinenepe ovyo licha ya kuwa mtu mzima sasa mwenye miaka 43

Katika mahojiano yaliyochapishwa katika jarida la InStyle litakalotoka Desema 2012 muigizaji huyo amesema hajaajiri mwalimu wa mazoezi ya viungo kwa sababu haitaji mtu wa kumshawishi kufanya jambo na na kwamba anajisukuma mwenyewe kufanya mazoezi angalau kwa dakika 43 kila siku

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging