Rihanna amesema ripoti za vyombo vya habari zinaumiza na wakati mwingine hata za uongo zinaonekana kuwa kama za kweli lakini hauwezi kuwachukia watu kwa kukufikiria wanavyokufikiria kuhusu yeye na maisha yake
Kimwana huyo ambaye anaripotiwa kurudiana na boifrend wake wa zamani, Chris Brown amesisitiza kuwa maisha yake binafsi yatabaki kuwa binafsi na hayapaswi kuwapasua vichwa wengine
Binti huyo mwenye umri wa miaka 24 amesema anataka atakapofikisha miaka 30 awe bado mwembana na kifua chake kiwe bado kimasimama kama ilivyo sasa