Mwigizaji Juma Kilowoko sasa ameweza kutoka nyumbani kwake na kufika 'location' kusaidia utengenezaji wa filamu ya Family War
Sajuki ambaye sasa afya yake imeonekana kuimarika alifika katika utengenezaji wa filamu hiyo iliyowashirikisha mastaa kama Odama, Grace Mapunda, Mlawa na Slim
Mmiliki wa filamu hiyo Odama anasema ingawa sajuki siyo muongozaji wa filamu hiyo lakini ilisaidia hapa na pale kutoa maelekezo ambayo yaliwasaidia