WASANII KUJA NA SINGLE - SINGLE REST IN PEACE SHARO MILIONEA
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini wamerekodi 'Single' maalum kwenye kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na rafiki yao mpedwa msanii mahili wa maigizo ya vichekesho na muziki wa kizazi kipya Tanzania, Sharo Milionea
Nyimbo hiyo ambayo itaachiwa hivi karibuni ameifanya producer Mona Gangstar huku wasanii waliofanya ngoma hiyo ni PNC,kutoka mtanashati, Dogo Janja , Stamina, Country Boy, Ney wa Mitego, Suma Mnazaleti, Elly Nizo, Bright, Soprano, Makomando na wengine