Birthday ya Naseeb Abdul Diamond Platnumz alifanya hafla fupi kwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na ndugu na jamaa wa karibu iliyofanyika katika hotel ya DEMAGE kinondoni.
Hizi ni baadhi ya picha katika tukio ilo la sherehe ya kuzaliwa Diamond:
Hii ni keki aliyoletewa na aliyekuwa mpenzi wake Wema Sepetu
Ommy Dimpoz akiwa na Wema Sepetu na keki ya Birthday.
Meneja wa Tip Top Connection,Babu Tale akipiga story na Naj.
Diamond & Mboni Masimba.
Vijana toka Tip Top Connection.
Wema Sepetu akiwa na Mboni Masimba.