Wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flever Matonya na Tunda Man wameingia katika mgogoro mkubwa mara baada ya Tunda Man kuweka Jina la Halisi la Matonya kwenye mashairi wa wimbo wake mpya unajulikana kama Bintio ambapo katika moja ya mashairi amemtaja Seif Shaaban..kutokana na mashairi hayo Matonya anahisi amepigwa dongo,kwa mujibu wa Tunda Man amesema yeye aliyemtaja katika wimbo huo ni Seif Shabaani Taletale,ambae ni kaka wa boss wa Kundi zima la Tiptop Connection.Mara baada baada ya kufunguka nilimuuliza je? ni kweli ameibiwa shilingi Million 7 na Jimama..,Tunda Man alifunguka kwa kusema "sikuwa nchini nilikuwa Jijini Nairobi ambako nilikuwa nimekwenda kikazi sasa niliporejea nikakutana na shutma hizo ambazo si za kweli,mimi sijaibiwa kwanza mama yangu mzazi amelalamika sana mara baada kusikia story hizo kwa maana aliniomba shillingi millioni 2 nikamwambia namtafutia sasa akaja kusikia mimi nimeibiwa na na jimama shillingi million saba wakati si kweli ...hata kidogo alihuzunika sana mara baada ya kusikia story hiyo"alimalizia tunda huku akisema anahisi mtu ambaye anatangaza uzushi huu wote ni Seif Shaaban maharufu kama Matonya na hayo yote kutokana na kuhisi kwake kutajwa kwenye moja ya wimbo wa Tunda Man
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.