Google PlusRSS FeedEmail

BIEBER UTOTO NDIO CHANZO CHA KUCHELEWA



Hatimaye sababu imegundulika inayosababisha muimbaji Justine Bieber kuchelewa  kwenye shoo zake na kuonekana kuwakwaza mashabiki wake

Watu wake wa karibu walieleza kuwa kucheza gemu katika kompyuta yake ndio chanzo kinachomsababisha muimbaji huyo kuchelewa zaidi ya saa mbili katika tamasha alilotakiwa kutumbuiza

Bieber ambaye ametajwa kutokuwa makini katika kazi zake hasa za kimuziki kitendo ambacho kimechangia kuwakwaza kila wakati mashabiki wake

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging