Google PlusRSS FeedEmail

DAVINA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Halima Yahaya ‘Davina’ mwanadada mwigizaji wa filamu hivi karibuni kajifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Aga Khan na kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kuzaa salama msanii huyo ambaye ni mahiri katika tasmia ya filamu alikuwa mwenye furaha wakati alipotembelewa na wa wasanii wenzake kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa hongera kwa kujifungua salama.
Mwenyezimungu kwa kujifungua salama na nimepata Baby boy nimefurahi sana unajua siku mambo ya uzazi yanavyokuwa lakini pia asante kwa nyinyi rafiki zangu kuja kunitembelea na kujua hali yangu na mimi nipo salama kabisa na mtoto yupo sawa,”anasema Davina.Davina alitembelewa na wasanii wenzake katika Hospitali ya Agakhan kumpongeza wasanii hao walikuwa ni Jenifer Kyaka ‘Odama’, Salama Salmin ‘Sandra’, na kiongozi wa kundi la Bongo movie Herith Chumila wakiwa wenye furaha kwa rafiki yao kujifungua salama na kuwaletea mtoto wa kiume.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging