Google PlusRSS FeedEmail

D'BANJ HAJAONA MWANAMKE BORA



Mwanamuziki Dapo Oyebanjo 'D'Banj' amefunguka kuhusu kuoa kwa kusema kuwa hajui mke bora ni yupi hivyo ameamua mama yake amtafutie

Amefafanua kuwa amekuwa kwenye uhusiano na wanawake wengi lakini hakuna ambaye amemuona anaweza kuwa mke bora kwake, hivyo haoni umuhimu wa kuendelea kusumbuka zaidi ya kumuachia mama yake amtafutie mke bora

'Sina wasiwasi kwa kuwa mama yangu anajua kitu ninachokipenda nimemwambia kuhusu kuoa na amejisikia faraja

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging