Google PlusRSS FeedEmail

DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA LONDON

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anazidi kujizolea umaarufu kwa kupata shoo nyingi zikiwemo ndani na nje ya nchi wakati hivi sasa yuko nchini England akifanya shows katika ziara yake ambapo mwisho wa wiki hii amehakikisha mashabiki wake wa mjini London kuwapagawisha na shoo moja kali ambapo msanii hnuyo alionyesha uwezo wa hali ya juu kwa kufanya shoo ya nguvu

Picha kwa msaada wa mtandao

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging