Google PlusRSS FeedEmail

DIANA AKOMAA NA VIPAJI



Mwimbaji Diana Samkange amefungua studio kwa lengo la kuibua wasanii wapya katika tasnia hiyo ya muziki ambayo kwa sasa ni ajira kwa dunia nzima

Studio hiyo ambayo ameipa jina la Mangwenya imekuja baada ya kumaliza kozi yake ya kujifunza kupiga kifaa cha muziki kiitwacho Mbira

Alisema kuwa kilichomfanya kufungua studio hiyo ni kumbukumbu alikotoka kwa kuwa waandaaji wengi wanasahau ulipotoka na kuwaacha wasanii wachanga wahangaike bila kuwaunga mkono

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging