Google PlusRSS FeedEmail

MILA KUNIS AMDONGOSHA RIHANNA KWA MVUTO



Muigizaji mwenye hasili ya Ukraine Mila Kunis ametajwa kuwa msichana mwenye mvuto zaidi duniani kwa mwaka 2013

Kwa mujibu wa jarida maarufu nchini Marekani (FHM) mwanadada huyo amefanikiwa kumfunika mwanamuziki mwenye vituko Rihanna ambaye amekamata nafasi ya pili

Jarida hilo mwaka jana lilitoa takwimu kuwa Rihanna kushika nafasi ya tatu ambapo mwaka huu amesogea juu kwa kushika nafasi hiyo ya pili

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging