Google PlusRSS FeedEmail

SHAA KUJA NA SUGUA GAGA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Sar Kaisi 'Shaa' anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina la 'Sugua Gaga hivi karibuni. Akizungumza jijini Dar es Salaam alisema yupo katika maandalizi ya mwisho wa wimbo huo na kuwataka mashabiki wajiandae kusikia kazi nzuri zaidi kutoka kwake.

Alisema amekuwa akijituma kufanya kazi nzuri kila wakati kwa lengo la kuhakikisha anafanya vyema katika muziki huo na kupata soko zaidi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging