MAVAZI YA ZURIA JEKUNDU Posted on by Zourha Malisa Vazi la zulia jekundu, magauni marefu ya kubana ndio mpango mzima ndani ya zuria jekundu, angalia wadada walivyopendeza kushoto ni Madamu Rita, katikati ni Miss Tabata 2008, na mwisho ni mtangazaji wakiwa ndani ya red carpet Msanii Shaa naye ndani ya Red Carpert