Google PlusRSS FeedEmail

ROSS HANA MPANGO WA KUMJIBU 50 CENT



Vyanzo vya habari vya Ross vimeweka bayana kuwa msanii huyo hana mpango wa kumjibu 50 Cent ambaye kwake anamchukulia kama mtu anayetafuta umaarufu tu.

Vyanzo hivyo vimeuambia mtandao wa TMZ, kuwa Rozay hawezi kumjibu kwa sababu hajali kitu chochote kinachosemwa na 50 kwani hawako katika ngazi moja.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging