WIZ KHALIFAH AKAMATWA KWA KUJISAIDIA HAJA NDOGO
Last week haikuwa nzuri kwa baba Sebastian namzungumzia Wiz Khalifah, baada ya kukamatwa na askari wa jiji akilimwaga ‘Kojo’ mbele ya hadhara.
Tukio hilo lilitokea siku ya jumamosi usiku wa manane nyuma ya baa moja mjini Pittsburgh, kabla ya hapo Wiz alipiga show kwenye tamasha la chuo kikuu liitwalo Pittsburgh’s Midnight Madness basketball.