Google PlusRSS FeedEmail

BREAKING NEWS.MPENZI WA MTANGAZAJI MAHARUFU WA TBC 1 MAIMARTHA WA JESSE,PERFECT KASSIGA AMEFARIKI DUNIA..
BREAKING NEWZ: HABARI ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU, ZINASEMA KWAMBA MKURUGENZI MSAIDIZI WA BENDI YA MUZIKI WA DANSI YA DIAMOND MUSICA, PERFECT KASSIGA 'P DIDY' AMEFARIKI DUNIA.

INAELEZWA P DIDY AMEFARIKI GHAFLA BAADA YA KUANGUKA, BARABARA YA LUMUMBA, MNAZI MMOJA, JIJINI DAR ES SALAAM ALIPOKUWA KATIKA MIZUNGUKO YAKE.

"NI KWELI AMEANGUKA MBELE YA MACHO YANGU," ALISEMA MMOJA WA MASHUHUDA WA TUKIO HILO.

NAYE MTANGAZAJI WA KITUO CHA RUNINGA CHA TBC 1 CHA JIJINI DAR, ANAYETANGAZA KIPINDI CHA B&M BENNY KINYAIYA ALIUELEZA MTANDAO HUU KUWA: "NI KWELI, NIPO MUHIMBILI MUDA HUU."

BEN HAKUWEZA KUZUNGUMZA ZAIDI KWANI ALIKUWA AKILIA MUDA WOTE ALIOKUWA AKIHOJIWA NA MTANDAO HUU.

TUNAENDELEA KUFUATILIA TAARIFA HII KWA UKARIBU NA TUTAWALETEA KILA KINACHOJIRI.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging