Google PlusRSS FeedEmail

FRASHA ,GABU,NA BON EYE HAOOO NA WAGENGE HAO YAOOO

Wasanii kutoka pande za  Kenya,P-Unit ambao tayari wameshadondosha video mpya inayoitwa "Kari"  wanategemea kuachia album yao ya kwanza. . Jamaa walifanya vizuri  na na pini "si lazima" walioshirikiana na mtu mzima Nonini,na  ku  launch tour yao nchi nzima jumamosi hii ndani ya viwanja vya canivore kiingilio kikiwa ni shilingi 500 ya kenya ikiwa ni pamoja na free copy ya cd yao mpya inayoitwa "Wagenge hao"

Kundi hilo lenye watu watatu Frasha, Gabu na Bon Eye watasindikizwa na Godfather wa Genge, Nonini, and Nimmo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging