Google PlusRSS FeedEmail

H-BABA NA NEW STYLE - POTEZA DANSI BONGO FLEVER.

Mkali wa miondoko ya TAKEU Bongo, Hamisi Baba a.k.a H- Baba, ameibuka na kutambulisha staili mpya ya muziki, ambayo amesema anaamini itafunika ile mbaya na kumfanya aendelee kuwa kileleni.


H Baba, alitambulisha style hiyo last week kwenye vituo mbali mbali vya Tv ambapo aliitaja kuwa  style yake mpya inakwenda kwa jina  la Poteza Dansi Bongo Fleva.

“Hapa watu watanikoma, maana haiigiki mzazi...ni mauno mwanzo mwisho, nani ataweza? Watu wasubiri kidogo waone ujio wangu mpya,” alisema H Baba.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging