Google PlusRSS FeedEmail

JA RULE SASA AKIMBILIA KWENYE UTANGAZAJI WA LUNINGA


Rapper Ja Rule ameweka bayana kuwa kwa sasa ameamua kuwa busy kwenye show yake mpya ambayo bado hajaweka bayana itakuwa ikirushwa na kituo gani cha Tv..

Akiongea na mwandishi wa Website ya Hip Hop.com alisema kwasasa muziki ameupa kisogo kwa mda na yuko busy katika kukuza kipaji chake hichi kipya..

 Ja Rule amesema kipindi hicho ambacho amekipa jina la Hip Hop Base,kinatakuwa kinazungumzia msanii au kikundi cha wasanii wapi walipotoka walipo na wanapotarajia kuwa..

Aliongeza katika show hiyo yuko na emcee wenzake ambao ni kutoka katika kundi la Murda Inc.. 
Aliongeza kwa kusema kipindi chake kitakuwa kama tamthilia na mpaka sasa tayari amesharecord seasin 3 zitakapofika tano zilizokamilika ndio atatangaza rasmi ni televion gani ambazo zitakuwa zikirusha vipindi hivyo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging