Snoop Dogg na producer SWIZZ BEATZ kwa sasa wako busy studio wakiifanyia kazi albamu mpya ya snoopdoggy style 2
Kwa ujio huo mpya leo september 2 rapper Snoop Dogg na producer Swizz wamesema wataachia documentary video inayohusu albam hiyo..
Kwa pamoja wamesema wamesharecord baadhi ya track ila hawakusema idadi ya tracks ambazo ziko tayari..
Walisikika wakisema
He just laced my boots up for my new record,” Snoop explained. “Motherfucker gave me some gangsta shit, some crib shit, some R&B shit, some Hip Hop shit, hard shit, some mean shit...”
That’s how we used to do it back in the day. It used to be about the sound so right now we constructing sounds for the album,” Swizz added...
Kama snoop Dogg ,albamu ya doggystyle ya kwanza ambayo niliiachia November 23 ,1993 ni moja kati albamu nayoipenda na sitoisahau katika maisha yangu,kwa maana imenipa mafanikio makubwa,hakika hata hii soggydoggstyle 2 itafanya vyema pia..