Tamasha kubwa la East Africa Rise Up ambalo lililoandaliwa na wasanii kutoka wa kundi la Watengwa limefanyika jana Tarehe 4th September Mjini Arusha. Tamasha hilo liliwashilikisha wasanii mbali mbali kutoka Kenya na Ufaransa, wasanii wa ngoma za asili, Hip Hop na Fashion show .
MwanaHiphop JCB makalla anayefanya vyema na pini lake 'Ukisikia Paaa' amesema pia katika tamasha kufanyika kwa tamasha hilo ni mafanikio malubwa kukuwa na maonyesho ya wasanii kuonesha bidhaa zao kama T-shirt, Cds na vitu mbali mbali ambavyo wanakuwa wanabuni.
Na katika upande wa burudani, Kundi la Watengwa kutoka arusha, Tgp kutoka Arusha na Mau Mau kutoka Kenya walitoa burudani burudani ya live Band...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.