Google PlusRSS FeedEmail

BEYONCE NAE KUFUATA NYAYO ZA ALICIA KEYS SOON

Kumekuwa na tetesi ya kwamba mwanamziki Beyonce Knowles na mumewe , Shawn “Jay-Z” Carter wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza. Beyonce mwenye umri wa miaka 29 alishtuka sana baada ya kupata tarifa hizo limesema gazeti la Us weekly.
“Ikumbukwe kuwa B aliwahi sema kuwa anapenda watoto lakini hakuwa tayari kupata kwa sasa kwa sababu anataka kukamilisha album yake na kufanya maonyesho nchini Marekani ikiwa ni njia moja wapo ya kuitangaza albamu hiyo.
Masupastaa hawa walioana mwaka 2008, ambapo yeye B anasema hii ni zawadi toka kwa mungu na nina furaha.
Tayari marafiki wao wa karibu wamesha anza kuwatumia salamu za kuwatakia malezi mema kwa hao wazazi watarajiwa.
“Jay amekuwa ni mtu wa kutaka familia tangu nikutane nae na kila siku atakuwa ni wa familia ndio anachokihitaji sana alisema mmiliki wa studio Bw. Kevin Liles

Mpaka sasa mwanamama huyo  hajasema chochote kama atafyatua nyimbo nyingine zaidi kutoka katika albamu yake hiyo mpya...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging