Google PlusRSS FeedEmail

ONE 8 YAMPELEKA ALLY KIBA CHIKAGO MAREKANI- KWA AJILI YA COLLABO YA PAMOJA.


Mwanamuziki kutoka home Tanzania Ally kiba anatarajia kwenda nchini marekani na kuungani na wasanii wengine kutoka Africa kwa ajili ya tamasha maalumu ambalo watafanya wimbo mmoja na msanii kutoka nchini marekani.na wimbo huo baadae utafanyiwa video ya pamoja..One 8 itanganisha wasanii wengi kutoka Africa na hii itasaidia sana kukuza kazi za wasanii wetu kutoka Africa Baadhi ya wasanii watakao kuwepo ni kama 2Face: Nigeria , JK: Zambia , Navio: Uganda , Amani: Kenya , Alikiba: Tanzania , 4×4: Ghana , Fally Ipupa: DRC ,na  Movaizhaleine: Gabon..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging