Cutris James Jackson III aka 50 Cent msanii mkali toka kwa Marekani,amezua utata baada ya kuonekana ametupia kapelo yenye nembo inayofanana na dini ambayo inahusishwa na imani ya kishetani duniani,Fremasons.
Nembo ya freemasons ni pembetatu na jicho moja na, 50 Cent inasemekana alikua mstari wa mbele kuipinga dini hiyo hivi karibuni
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








