Google PlusRSS FeedEmail

FIRST LADY YOUNG MONEY NICKI MINAJ INASEMEKANA NI MJAMZITO

First Lady wa Young Money,Nicki Minaj kuna taarifa kwamba ana ujauzito na anadaiwa,kwa sasa anatembea  na  Safaree Samuels.ambaye ni moja ya watu wake wa karibu kikazi.., Jumatatu ya wiki hii uvumi ulienea kwenye mtandao kuwa Nicki Minaj aliomba apunguziwe ratiba ya kazi  kwa kile kilichoaminika kuwa kwa sasa ameshaanza kuchoka na anataka apunguziwe kazi . Lakini mwakilishi wa Nicki Minaj alikanusha kwa kusema "she's not pregnant" na kwa sasa Nicki anatarajiwa kuwa kwenye Tour ya Lil' Wayne iitwayo,I Am Music Tour II wakiwepo pia Rick Ross na Travis Barker.
Inadaiwa kuwa Ijumaa ya tarehe 4 March,Nicki Minaj alikutana na uongozi wa juu wa Young Money kuwajulisha kuwa yeye mjamzito na kusababisha Lil' Wayne kuwaka kuwa,inakuaje kuwa Nicki ameamua kuwa na familia mapema hivi wakati ndio kwanza nyota yake imeanza kuwaka kimuziki duniani?

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging