Google PlusRSS FeedEmail

AMINI - LINAH WATENGANA


Uhusiano  wa kimapenzi wa wasanii toka THT,Linah na Amini umefikia kikomo  baada ya kila mmoja kusema  kuwa wameachana,Linah alisema“Tulikaa tukakubaliana na kila mmoja akaridhia kuwa iwe mwisho wa uhusiano wetu hivyo sababu siwezi kuweka wazi ila mashabiki wangu wajue tumeachana,”...Huku Amini nae alisema....“Dah! bwana ndiyo hivyo kila mtu kwa sasa yupo kivyake ila uelewe sipendi kuzungumzia uhusiano wetu sababu haunisaidii chochote katika muziki wangu.” Inasemekana kuwa wimbo aliouimba Linah wa Bora Nikimbie ulikua ni kutoka moyoni kwasababu inadaiwana Amini alikuwa na tabia ya kumpa kipigo Linah mara kwa mara kitendo ambacho alikuwa anakivumilia na kufikia hatua ya kumwagana

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging