Msanii toka Congo-DRC,Ipupa Nsimba aka Fally Ipupa na bendi yake ya watu 18,watadondoka nchini Kenya kupiga show kwenye concert iliyoitwa Sawa Sawa Concert itakayofanyika May 28 huko Nairobi
Sawa Sawa Concert itafanyika pande za viwanja vya Carnivore grounds,pia mshindi wa tuzo ya MTV gospel singer Daddy Owen toka Kenya naye atapiga show