Jazz Maestro toka Afrika Kusini,Hugh Ramopolo Masekela anatarajiwa kupiga show Carnivore jijini Nairobi,tarehe 9 June,2011
Hugh alikua nchini Kenya mwaka jana kwa hisani ya African Leadership Academy (ALA),na kupiga show kwenye sherehe za ALA Champions Dinner event,pande za Serena Hotel
ALA taasisi isiyo ya kiserikali aka NGO,lenye lengo la kuendeleza kizazi kipya cha viongozi wa baadaye wa Afrika na huandaa onesho kila mwaka ili kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wao








