Google PlusRSS FeedEmail

JA RULE AJISALIMISHA POLISI...KWENDA JELA



Jeffrey Atkins aka Rap Star Ja Rule alitumia siku yake ya mwisho ya kukaa uraini ndani ya recording studio siku ya juzi kabla ya kuanza kutumikia kifungo chake Ja Rule alikua anamalilizia kufanya upcoming album yake iitwayo Pain Is Love 2,na alitakiwa ajisalimishe polisi jana,June 8,2011 ili aanze kutumikia kifungo jela baada ya kukutwa na hatia ya kupatikana na silaha kinyume na sheria jijini New York City,July 2007 na atatumikia kifungo cha miaka 2 na nusu pande za jela ya Upstate New York
Ja Rule ametoa video clip,akifunguka kuishukuru familia yake,fans kwa kumpa support na kuhusu mishe za jela anasema atakua anayaanyua vyuma,kucheza basketball kama wala wasikonde then watakutana uraiani!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging