Lakini Diamond amekuwa akienda kinyume mkataba huo na kwa sasa anadaiwa shilingi milioni 70,yaani milioni 30 alizochukua na milioni 40 za fidia ya kuvunja mkataba huo....
Papaa Misifa amefunguka kukiri kumfikisha msanii huyo polisi na kumfungulia jalada la kesi lenye namba OB/RB/9343/11 Na kwa sasa Diamond yuko nchini Sweden kupiga showz kadhaa..!







