Mavijanaaa wanaowakilisha vyema katika burudani ya muziki hapa nchini Pro-24 djs kuanzia Ijumaa hii na kuendelea watakuwa wakiwakilisha,vyema katika usiku wa 103 Degrees ndani ya Maisha Club.. Hakuna asiyejua kazi ya Pro-24 djs Hapa nchini ni mavijanaaa walio na uwezo wa kimataifa katika swala zima la upigaji disco hapa nchini....Pro-24djs ina ongozwa vyema na Dj Joe,Dj Chill,Dj Tass,Dj Kevy,Dj Arnold,Dj Mass,Dj John,Dj Victor,na Dj Tix..hiyo ni timu ya uhakika kwa ajili ya kukupa wewe raha popote wao wanapokuwa..Karibu sana kwenye usiku wa 103 degrees na pro-24djs ndani ya maisha club Ijumaa Hii na Ijumaa zote zijazo..pro-24djs Raaaaaaaaaaaha Mguso,Mwanzo Mwisho...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








